MAPACHA WALIOSHIKANA WAKONGWE ZAIDI

Ronnie na Donnie Galyon walio na miaka 62 ndio mapacha walioshikana wenye umru mkubwa zaidi.
Ingawa kila mmoja ana tumbo lake mapacha hao wenye mikono minne na miguu minne hutumia baadhi ya viungo vya ndani kwa pamoja .kama vile TUMBO.
Mapacha hawa walizaliwa katika familia kubwa ya watoto 9 ,waliwezakuchangia mapato ya familia kwani walitumiwa kwenye maonyesho ya barabarani na baba yao aliyekuwa na changamoto ya kukimu familia yao kubwa .Waliendelea na maonyesho hayo hadi walipofikia miaka 39 walipoamua kustaafu.
Mapacha hawa ambao huzozanan mara kwa mara ,hupenda kuvua samaki .
No comments