• Breaking News

    Kutana Na Ally Haji: Mlemavu Mjasiliamali Asiyetegemea Kuombaomba

                          

    Ally haji ni mlemavu wa viungo aliyekua anaomba omba maeneo ya kariakoo kutokana na changamoto alizonazo (ULEMAVU).
    Baada ya kumtembelea na kuongea nae jinsi ambavyo anaweza akatumia kipaji chake kuweza kujipatia kiapato ili kikidhi mahitaji yake. 

                              

    Ally Haji anakipaji cha kutengeneza hereni kwa kutumia pini na konokono,  tuliweza kumshawishi aanze kutengeneza hereni pamoja na kupima uzito matu ili imsaidie kupata kipato na kujikimu. 
    Baada ya muda mfupi Ally Haji aliweza kukubali na tukamuwezesha pesa kidogo kwajili ya kuanza kununua vifaa vya kutengenezea hereni na kumshawishi pamoja na kumuelimisha kua ulemavu si kushindwa. 
    Mpaka sasa Ally Haji no mfanya biashara mdogo ambae anauza hereni pamoja na kupima uzito watu maeneo ya kariakoo 

                          

    "TANZANIA BILA WATU WENYE ULEMAVU TEGEMEZI INAWEZEKANA"

    No comments